Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, March 15, 2013

HAWA NI SEHEMU YA WATU WALIOVUNJA REKODI KWA UFUPI DUNIANI WAKIWEMO WALIOOANA WOTE WAFUPI.



.
.
.
.
.
.
.
.
Unaambiwa harusi ilifana baada ya Matt Mccarthy mwenye urefu wa futi nne kumtamkia mpenzi wake Amazing Chapman mwenye urefu wa futi tatu nia ya kumuoa ambapo rafiki wa wawili hao Todd Ray ambae ni mtangazaji wa show ya Tv ya Venice aliwafanyia bonge la party kwenye harusi yao.
Ray amesema hawa wapendanao wanafuraha na maisha yao lakini swala la kupata mtoto ni kikwazo na linazungumziwa sana, Matt anataka watoto lakini Ali hana uhakika.
.
.

No comments:

Post a Comment